Barabara
- Barabara ni njia iliyotengenezwa ili kupitisha binadamu akitumia vyombo vya usafiri kama vile magari, pikipiki, baiskeli pamoja na farasi.
Barabara ya hariri
- Barabara ya hariri (kwa Kiingereza: "Silk road") ilikuwa njia muhimu ya biashara kati ya China kwa upande mmoja na Afrika Mashariki, Mashariki ya Kati halafu Ulaya kwa upande mwingine.
Barabara Kuu
- Barabara kuu ni barabara bora zinazotumiwa katika shughuli za kila siku za wanadamu ambapo magari hutumia barabara hiyo yakiwemo magari makubwa kwa madogo kwenda hasa mahali pa mbali kwa mwen
Barabara ya B8, Kenya
- Barabara ya B8 ni barabara kuu nchini Kenya katika Mkoa wa Pwani iunganishayo miji ya Mombasa na Garissa.
Barabara ya mchipuko
- Barabara ya mchipuko ni njia ambayo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo barabara ya mchipuko husaidia sana kupunguza msongamano wa magari hasa katika miji mikubwa.
Barabara סוואהילית הגייה עם משמעויות, מילים נרדפות, הפכים, תרגומים, משפטים ועוד.