Katiba
- Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao.
Katiba ya Kenya
- Katiba ya Kenya ndiyo sheria kuu kabisa ya Jamhuri ya Kenya. Katiba ya mwaka 2010 ilichukua nafasi ya katiba ya wakati wa uhuru ya mwaka 1963.
Katibu Mkuu wa UM
- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni mtendaji mkuu wa UM na mwenyekiti wa Ofisi Kuu ya UM ambayo ni kati ya vitengo muhimu vya Umoja wa Mataifa.
Katibu
- Katibu (kutoka neno la Kiarabu) ni mtu anayefanya kazi ya kuandika, kwa mfano kumbukumbu za mikutano.
Kati (Arusha)
- Kati ni kata ya Jiji la Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23102. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,114 walioishi humo.
Kati סוואהילית הגייה עם משמעויות, מילים נרדפות, הפכים, תרגומים, משפטים ועוד.