Bwana
- Bwana ni jina la heshima linalotumika kwa mmoja ambaye ana mamlaka fulani.
Bwana Heri
- Bwana Heri bin Juma (pia: bana Heri) alikuwa sultani wa Saadani iliyokuwa bandari ya biashara kwenye mwambao wa Bahari Hindi (katika Tanzania kaskazini-mashariki ya leo) tangu miaka ya 1870.
Bwana wa Mapete
- Bwana wa Mapete ni kichwa cha kitabu cha bunilizi ya kinjozi kilichoandikwa na J.R.R. Tolkien.
Bwana Msa
- Bwana Msa ni mhusika wa kubuni katika vitabu vya mwandishi Mohammed S. Abdullah.
Bwawa la Nyumba ya Mungu
- Bwawa la Nyumba ya Mungu limepatikana kwa lambo lililojengwa miaka ya 1960 katika wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania) ili maji ya mto Kikuletwa na ya mto Ruvu yaweze kutumika kuz
Bwana סוואהילית הגייה עם משמעויות, מילים נרדפות, הפכים, תרגומים, משפטים ועוד.