Akili
- Akili (kwa Kiingereza "intelligence") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo.
Akili ya binadamu
- Akili ya binadamu (kwa Kiingereza "mind") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo.
Akili bandia
- Akili bandia ni kutengeneza tarakilishi, mashine au roboti inayoweza kidogo kufikiri kama binadamu, kujifunza na kutoa mawazo mapya.
Akwilina Akwilini
- Akwilina Akwilini Bafta (1 Aprili 1996 - 16 Februari 2018) alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha usafirishaji Dar es Salaam (NIT) ambaye alifariki baada ya kupigwa risasi ya kichwa kimakosa na
Akihito wa Japani
- Akihito (amezaliwa 23 Desemba 1933) alikuwa mfalme mkuu (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake, Hirohito, tarehe 7 Januari 1989.
Akili סוואהילית הגייה עם משמעויות, מילים נרדפות, הפכים, תרגומים, משפטים ועוד.